Surprise Me

Wimbo 'Alisema' wamueka pabaya Nay , BASATA kutoa hukumu - HDMaza.pw

Oct 23, 2018 22 0 1,366

Msanii wa muziki Nay wa Mitego aliitwa Baraza la Sanaa Taifa kwaajili ya kuupitia wimbo wake mpya 'Alisema' ambao kwa sasa unafanya vizuri. Wimbo huo unadaiwa kuwa na maneno ambayo yanadaiwa kuwa na tatizo.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw