Surprise Me

Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza) - HDMaza.pw

2018-12-10 0 2

Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza)Mwenyezi Mungu anasema, "Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote. Hatua tatu za kazi ndizo maonyesho kamili ya kazi ya kumwokoa mwanadamu. Wale wasiofahamu hatua tatu za kazi watakosa kuelewa njia mbalimbali na kanuni za kazi ya Roho Mtakatifu; wale wanaoshikilia tu imara mafundisho ya dini yanayosalia kutoka katika hatua moja ya kazi ni watu wanaomwekea Mungu mipaka kwa mafundisho ya dini, na wale ambao imani yao kwa Mungu haina udhahiri na uhakika. Watu kama hao kamwe hawawezi kupokea wokovu wa Mungu."Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: sw.godfootsteps.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mwKanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: facebook.com/kingdomsalvationsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: twitter.com/CAGchurchswKanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: instagram.com/thechurchofalmightygodsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: vimeo.com/thechurchofalmightygodswKanisa la Mwenyezi Mungu Blogger: nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/Kanisa la Mwenyezi Mungu Wordpress: nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:www.stockfootage.comTags: neno la mungu    kujua hatua tatu za kazi ya mungu ndiyo njia ya kumjua mungu    maneno ya mungu    maonyesho ya mungu    matamshi ya mungu    maneno ya roho mtakatifu    maneno ya roho mtakatifu kwa makanisa    semina ya neno la mungu    mafundisho ya neno la mungu    mahubiri    kazi ya mungu    kumjua mungu    njia ya kumjua mungu    tabia ya mungu    hatua tatu za kazi ya mungu    hekima ya mungu    kumwokoa mwanadamu    kazi ya roho mtakatifu    mungu    wokovu wa mungu    kanisa la mwenyezi mungu    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw