Surprise Me

UNAFANYA MIUJIZA LAKINI JINA LAKO LIMEFUTWA MBINGUNI - HDMaza.pw

Jan 12, 2019 55 2 3,410

Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing) Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya. Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa Baraka nyingi kwa watu wengi. Mobile : +255 753 497 655 Website: http://www.mgisamtebe.or.tz/ facebook : https://www.facebook.com/Mg... Instagram : https://www.instagram.com

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw