Surprise Me

#NAYWAMITEGO BAADA YA KUTOKA BASATA "ALISEMA IMEFUNGIWA"? / INACHOSHA KILA SIKU KUJA HUKU - HDMaza.pw

Oct 23, 2018 69 0 3,480

Leo Octoba 23 2018 Msanii Nay wa Mitego ameingia kwenye headlines tena na safari hii ni baada ya kuitwa kwa mara ya Tatu katika ofisini za Baraza la Sanaa la Taifa BASATA. Ameongea na Refresh ya Wasafi Tv na kuweka wazi kilichompeleka Basata kwa mara ya Tatu.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw