Surprise Me

KWA KINA: Tumeongea na NECTA kujua namna udanganyifu ulivyofanyika - HDMaza.pw

Oct 2, 2018 13 2 2,260

Baada ya Baraza la Mitihani kutangaza kufuta matokeo ya mitihani kwa baadhi ya shule nchini na kuamuru watahiniwa wake warudie mtihani huo, tumezungumza kwa kina na Katibu Mtendaji wa NECTA, Charles Msonde kufahamu namna uvujaji huo ulivyotokea.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw