Surprise Me

Mambo 5 Muhimu Unayofaa Kujua Kuhusu Nchi Tanzania - HDMaza.pw

Aug 4, 2018 93 4 5,519

Je unajua mambo haya kuhusu Nchi ya Tanzania. Watu wengi haswa wakazi wa eneo la East Africa huwa hawana uwezo wa kuzitembelea Nchi zilizoko eneo hili. Hatua kadhaa kuhusiana na usafiri ama ukipenda , "easy movement of people' zimeweza kuafikiwa na serikali za Nchi za KiAfrika ili wanainchi wa kiafrika waweze kutembelea nchi zingine. Kama unapanga Safari ya kwenda Nchi ya Tanzania ama kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na hujawahi toka kijijini kwenu Tazama video hii uweze kufahamu mambo kadhaa kuhusu Nchi hii ya kushangaza. Tanzania ni Nchi yenye mambo mengi sana ya kujifunza Afrika Nzima. Pia ni Nchi Yenye uchumi unaokuwa kwa kasi Afrika ya Mashariki. Ni Jirani Na nchi za Kenya, Rwanda, Uganda, Mozambique, Zambia, Burundi na Malawi Tanzania ina mbuga za kuvutia na miji iliyokuwa kwa kasi na ambayo ni miji inayovutia sana kwa wageni. Wanachi wa nchii hii ya Tanzania pia ni wenye vipaji mbalimbali kama vile Riadha, Wanasayansi, watu maarufu ikiwemo Diamond platnumz , Dr Magufuli na Ali Kiba miongoni mwa wengine .................................... Tanzania is an East African country known for its vast wilderness areas. They include the plains of Serengeti National Park, a safari mecca populated by the “big five” game (elephant, lion, leopard, buffalo, rhino), and Kilimanjaro National Park, home to Africa’s highest mountain. Offshore lie the tropical islands of Zanzibar, with Arabic influences. The country is East Africa's Fastest growing economy bordering Kenya to the North, Uganda to the North West, Rwanda and Burundu to the West, Malawi , Zambia and Mozambique to the South . Tanzania also has very close ties with Kenya, South Africa, Congo, Rwanda, Mauritius, Seychelles, Comoros, Zambia, Mozambique, Sudan, Djibouti, Malawi, South Africa, Nigeria, Ghana, Gabon, Senegal , Egypt and Burundi among other African Countries. Internationally Tanzania is a key and strategic ally to the USA, Germany, Switzerland, Canada, Australia, Jordan, Israel, Mexico, Cuba, China, Pakistan, Russia, Qatar, Japan, Turkey, Israel, Ukraine, Brazil, Argentina, South Korea, England(United Kingdom) and India among others. .......................... Algeria, Angola,Benin,Botswana, Burkina Faso, Burundi, Cabo Verde,Cameroon,Central African Republic (CAR), Chad, Comoros,Democratic Republic of the Congo,Republic of the Congo,Cote d'Ivoire, Djibouti, Egypt,Equatorial Guinea, Eritrea, Eswatini (formerly Swaziland), Ethiopia,Gabon,Gambia,Ghana,Guinea,Guinea-Bissau,Kenya,Lesotho,Liberia,Libya,Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mauritius,Morocco,Mozambique,Namibia,Niger,Nigeria, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal,Seychelles,Sierra Leone,Somalia,South Africa,South Sudan, Sudan,Tanzania,Togo,Tunisia,Uganda,Zambia,Zimbabwe

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw