Surprise Me

Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi - HDMaza.pw

May 7, 2018 12,357 780 697,148

Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi Bofa hapa kutazama mapishi ya chapati laini: https://youtu.be/7AkB02Ql2Wc MAHITAJI: Vikombe vinne vya unga kikombe kimoja cha chai iliki kikombe robo tatu ya sukari kijiko moja kubwa ya blueband kijiko kimoja kubwa ya hamira kikombe moja na robo tatu ya maziwa

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw