Surprise Me

NGARISHA MENO YAKO NA ONDOA UKUNGU NA HARUFU MBAYA YA KINYWA CHAKO NA BAKING SODA... - HDMaza.pw

Jan 11, 2017 1,480 231 175,368

SUBSCRIBE TO MY CHANNEL THANK YOU! Baking soda inasaidia sana kuondoa harufu mbaya ya kinywa na kuuwa wadudu mdomoni pia itakuacha ukiwa na tabasamu bomba na kujiamini..... mimi sio doctor wala dentist, hivyo sina ushauri wowote juu ya meno hii ni research yangu mwenyewe na nimeona NIWASHIRIKISHE NI VIZURI NA WEWE UKAFANYA RESEARCH KABLA YA KUTUMIA.....

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw