Surprise Me

HEDHI:NJIA SAHIHI YA KUJUA SIKU HATARI ZA MWANAMKE KUPATA MIMBA - HDMaza.pw

Jan 24, 2019 264 37 5,609

HEDHI:NJIA SAHIHI YA KUJUA SIKU HATARI ZA MWANAMKE KUPATA MIMBA Swala la hedhi kwa wanawake limekuwa changamoto kubwa Sana hasa kwenye kujua au namna sahihi na nzuri ya kuhesabu siku hatari za hedhi Kutokana na uchunguzi wa kisayansi hii ndiyo namna ya kujua siku hatari za mwanamke kupata mimba Tazama hii video kisha watumie marafiki zako kumi tu au kwenye magrupu yako matatu tu ili Watu waelewe waepuke mimba za kizembe kila siku kama una swali uliza kwenye komenti hapo chini nitakujibu mapema sana #HEDHI #MIMBA #TANZALIVETV

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw