Surprise Me

Huyu ndiye Winnie Mandela, aliyetikisa Afrika Kusini - HDMaza.pw

Apr 3, 2018 43 3 3,617

Jana April 2, 2018 Winnie Mandela, ambaye ni mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, alifariki dunia huko Johanesberg Afrika Kusini. Winnie Mandela ambaye alikuwa mwanaharakati na mwanasiasa na alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo amefariki akiwa na umri wa miaka 81.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw