Surprise Me

Mazoezi ya Taifa Stars Afrika Kusini moto - HDMaza.pw

Nov 9, 2018 27 9 11,482

Msemaji wa TFF Cliford Ndimbo ameeleza kuhusu kambi ya Taifa Stars ambayo ipo Afrika Kusini ikijiandaa na mchezo wake wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Lesotho. Ndimbo amesema kuwa mazoezi ya Stars yanaendelea vizuri lakini Beno Kakolanya na Yahya Zayd wa Azam walipata majeraha madogo wakiwa mazoezini.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw